MAAJABU YA SANDUKU LA DHAHABU

MAAJABU YA SANDUKU LA DHAHABU

MAAJABU YA SANDUKU LA DHAHABU

Doris Irish Lacks

17,41 €
IVA incluido
Disponible
Editorial:
TEACH Services, Inc.
Año de edición:
2020
ISBN:
9781479611850
17,41 €
IVA incluido
Disponible
Añadir a favoritos

Mahali fulani mashariki ya kati, sanduku la dhahabu la maajabu lilifichwa kutoka kwenye macho ya binadamu kwa maelfu ya miaka. Hakuna anayejua sehemu lilipo, lakini wengi walilitafuta, wakitumai kuwa mmoja wa watakaotatua siri: “Liko wapi sanduku la agano?”Hadithi ya safina ilianza, sio wakati inatengezwa chini ya maelekezo ya Musa kwenye jangwa, lakini mbinguni, katikati ya vita kati ya shetani na Mungu. Matunda ya vita ilikuwa ni dunia iliyoanguka, majibu ya wokovu wetu ni sehemu ya sababu safina kutengenezwa. Yaliyomo ndani ya sanduku la agano ni kitovu cha maisha yaliyojazwa kwa neema ya Kristo.Siku moja, wakati Yesu atakapokuja tena na kuonyesha sehemu iliyofichwa safina, maajabu ya muda mrefu yatatatuliwa. Lakini, kwa wakati huu, hapa kwenye hadithi ya safina ya dhahabu, na vitu vyake maalumu vilivyomo, na matokeo yake, sio tu kwa wale walioiona lakini kwa wale kati yetu watakaokuwepo humu duniani wakati wa mwisho.

Artículos relacionados

Otros libros del autor

  • Kid Power
    Doris Irish Lacks
    Kid Power is full of inspiring stories that share the extraordinary achievements of ordinary kids. The thirty-four stories in KID POWER: Amazing Things Done by Ordinary Youngsters tells how Martin Luther, Joseph Wolff, Louis Braille, Alexander Graham Bell, Anne Frank, Zach Bonner, Cassandra Lin, and many more, discover the incredible power within each of themselves to make a di...
    Disponible

    29,39 €

  • Girl Power
    Doris Irish Lacks
    If you are young, how do you discover your talents and make an impact in life as you grow? The forty-four stories in GIRL POWER: How Famous Women Chose to Answer God’s Call When They Were Young describes how Miriam, Jane, Pocahontas, Clara, Harriet, Ellen, Emily, Anna, Elizabeth, Hellen, Rosa, Ruth, Junko, Ann, Sonia, Michelle, Kamala, Suni, and many more, discover their talent...
    Disponible

    35,32 €

  • The Mystery of the Golden Chest
    Doris Irish Lacks
    Somewhere in the Middle East, a mysterious, golden chest has been hidden from the human eye for thousands of years. No one knows its location, but many have searched for it, hoping to be the one to solve the mystery: “Where is the ark of the covenant?”The story of the ark begins, not in its creation under the direction of Moses in the desert, but in heaven, in the midst of the ...
    Disponible

    17,33 €