JIFUNZE KISWAHILI

JIFUNZE KISWAHILI

John Edward

19,19 €
IVA incluido
Disponible
Editorial:
Draft2Digital
Año de edición:
2024
ISBN:
9798224379071
19,19 €
IVA incluido
Disponible
Añadir a favoritos

Kitabu hiki kinajumuisha mada mbalimbali zenye lengo la kukuza ujuzi wa lugha, fasihi na mawasiliano kwa wasomaji. Katika Kidato cha kwanza mwanafunzi hujifunza msamiati wa kawaida, sharia za lugha, misingi ya fasihi simulizi na fasihi andishi. Kidato cha pili huendeleza uelewa wa lugha na fasihi hivyo mwanafunzi hujifunza pia uundaji wa maneo katika lugha ya Kiswahili ambao hupelekea kuongezwa kwa misamiati katika lugha. Kidato cha tatu na nne huleta mada Zaidi za fasihi, uhakiki pamoja na utungaji. Vipengele kama vile riwaya, tamthilia na mashairi hujadiliwa kwa undani Zaidi. Wanafunzi hujifunza jinsi ya kufanya uchambuzi wa kazi za fasihi na kuzitasiri. Kuelewa na kutumia Kiswahili kwa mawasiliano ya kina na kuandika lengo kuu.Kitabu hiki hujumuisha historia ya lugha, mchango wa fasihi katika jamii na maendeleo ya lugha ya Kiswahili kama lugha ya taifa. Hatua kwa hatua , wanafunzi hupata ujuzi wa kuchanganua, kuelewa, kutoa maoni kuhusu kazi za fasihi, na hii huandaa msingi imara kwa matumizi ya lugha hiyo katika Maisha yao ya kila siku.

Artículos relacionados

Otros libros del autor

  • ENGLISH WRITING
    John Edward
    This is a unique book which has been written to guide all English learners in their learning process particularly in how to write different kind of text by using English language so as to fulfill the communication between one person and another. With engaging exercises and real-world examples, this book serves as your personal tutor, guiding you through each step of the writing...
    Disponible

    16,42 €

  • ENGLISH STRUCTURE LEVEL 2
    John Edward
    This is a unique book which has been written to guide all English learners in their learning process particularly in grammar and tenses because English is controlled by grammar and tenses, therefore it is very important to learn and master grammar. This book covers the following topics: Syntax, parts of speech, phrases, clause, sentence, mood, time, aspect, tenses, question tag...
    Disponible

    16,61 €

  • UNDERSTANDING LITERATURE IN ENGLISH
    John Edward
    Literature in English is a rich and diverse field of study that encompasses the description of written works, including novels, poetry and drama produced by authors from various cultures and historical periods. This academic discipline delves into the analysis of literary techniques, themes and the cultural contexts that shape literary creations. Students engage in the critical...
    Disponible

    20,89 €

  • UNDERSTANDING GENERAL STUDIES
    John Edward
    General studies is a multidisciplinary academic field encompassing a wide range of subjects, including but not limited to science, mathematics, social studies and humanities. It provides a comprehensive education by integrating knowledge from various disciplines. Students typically engage with topics such as Philosophy and religion, science and technology, life skills, contempo...
    Disponible

    20,90 €

  • ENGLISH BOOKS ANALYSIS FORM 3&4
    John Edward
    This book typically involves thorough examination and evaluation of literary works, exploring elements such as plot, characters, themes, writing style and cultural context. This process includes an in-depth look the author's intentions and the impact of the book on readers. Book analysts aim to uncover underlying messages, symbolism and the overall significance of the narra...
    Disponible

    20,92 €

  • GEOGRAPHY FORM 3&4
    John Edward
    Understanding Our Changing World: Geography for Form 3&4 Students' is comprehensive textbook that takes students on a captivating journey through the diverse and dynamic aspects of geography. Building upon the knowledge acquired in Forms 3 and 4, this book delves deeper into the study of physical and human geography. It explores about landforms, weather patterns, ecosystems, po...
    Disponible

    21,14 €